INAUZWA Printer HP na Epson

Ndengaso

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
7,459
13,460
Hp ni 130a Laser Jet Mpya 450,000 Full Catrage

Epson ni L3110 Full na wino wake, imetumika kidogo nyumbani 350,000

Hiti Passport Printer 100,000

Bei zote TZS 700,000

Zipo Mwanza nauza maana zimekaa sana ndani bila kazi nachannel hela kwenye jambo lingine, Serious buyer njoo Pm kwa Mawasiliano.

20231108_151144.jpg

20231108_152010.jpg


20231108_110007.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom