Mbio hizi zilihitaji timu husika iwe Bora kweli kweli na Ichange karata zake vizuri kwenye Kila mechi ili kuweka sawa mahesabu,
Timu ambayo ingeteleza kidogo tu basi ndio ingeanza kutoa fursa kwa mwenzake kuuelekea ubingwa,,yanga aliteleza kwa Azam na Tabora na amepata somo kwamba alifanya kosa kubwa sana kudondosha zile point,,ameangaika sana kuzirudisha hizo point,,sasa kakaa pale juu sidhani kama atarudia Tena yale makosa!
Simba kudondosha point 2 Leo na yeye atazitafuta kwa tochi sio rahisi kuzirudisha na nafikiri yanga anajulikana akishakuacha kwa gape kama ilo sio rahisi kumpata Tena pamoja na kwamba Mpira unadunda!
Presha ya yanga kushinda mfululizo ilikuwa ni mtego mwingine kwa Simba walihitaji ubora wa ziada kufukia mashimo pale yanga inakotoka sio rahisi rahisi kama watu wanavyofikiria,,yanga keshakomaa na mbio hizi za ubingwa anajua acheze vipi na ashinde vipi kwenye Kila mechi!
Nasema Tena yanga kakaa pale juu kwa tofauti ya point 2 kumg'oa Tena pale ni mtihani mwingine mzito sana iyo ndio inaweza kuwa baba jeni bai bai!