Presha, figo, maini vinanyemela wanywaji. ni jambo jema kuanza kutunza savings za matibabu. kuomba michango na kuchota bajet ya familia si jambo jema

gearbox

JF-Expert Member
Apr 20, 2024
563
1,758
Hasa wanaotumia pombe kupitiliza

Pombe inachangia kodi nyingi lakini pia tusisahau inasababisha gharama kubwa za matibabu.
  • Figo kufeli
  • mawe kwenye figo
  • homa ya ini
  • Presha / BP
  • Kibofu uti
  • n.k.
Haimaanishi kwamba wasio kunywa hawawezi kupata hayo magonjwa bali wanaokunywa kuna uwezekano mkubwa, Hata uraiani watu wanaotii sheria wanaweza kuishia jela kwa kubambikiziwa lakini ukiwa muhalifu kuna uwezekano zaidi wa kwenda jela.
 
Pombe ndio inayolipa kodi nyingi hapa nchini kuliko bidhaa yoyote,heshimu wanywaji.
Lakini pia ndiyo inayosababisha gharama kubwa ya matibabu kwa serikali.nadhani wangeongeza kodi mara mbili

Pombe na Sigara hili ni eneo la hovyo kabisa kulitegemea kwa kodi za kuendeahsa nchi.maana yake haina tofauti na kutoa kafara.

Sasa hivi kuna hiv vipombe vidogo vidogo kama kama "grip water" vinanywewa sana na vijana halafu inaonekana ni bei ndogo sana. Ila pia serikali isengeruhusu viuzwe kwenye maduka ya kawaida ya mitaani
 
Lakini pia ndiyo inayosababisha gharama kubwa ya matibabu kwa serikali.nadhani wangeongeza kodi mara mbili

Pombe na Sigara hili ni eneo la hovyo kabisa kulitegemea kwa kodi za kuendeahsa nchi.maana yake haina tofauti na kutoa kafara.

Sasa hivi kuna hiv vipombe vidogo vidogo kama kama "grip water" au vichupa vya grisaline vinanywewa sana na vijana halafu inaonekana ni bei ndogo sana. Ila pia serikali isengeruhusu viuzwe kwenye maduka ya kawaida ya mitaani
Wanawapiga misukuleee peleken kwaa mwamposaaaa
 
Hasa wanaotumia pombe kupitiliza

Pombe inachangia kodi nyingi lakini pia tusisahau inasababisha gharama kubwa za matibabu.
  • Figo kufeli
  • mawe kwenye figo
  • homa ya ini
  • Presha / BP
  • Kibofu uti
  • n.k.
Haimaanishi kwamba wasio kunywa hawawezi kupata hayo magonjwa bali wanaokunywa kuna uwezekano mkubwa, Hata uraiani watu wanaotii sheria wanaweza kuishia jela kwa kubambikiziwa lakini ukiwa muhalifu kuna uwezekano zaidi wa kwenda jela.
MKUUU UMENENA VYEMA WASAIDIE HAYA
1)KUMRUDIA MUNGU
2..NO KUFANYA MAAMUZI MAGUMU KUACHA POMBE
3..KUTOA SUMU

HAPA KWENYE SUMJ MUHIMU ZAIDI MAANA HATA WALIOACHA NDUGU BADO MASUMU YAKO MWILIN UNAWASAIDIAJE KWA HILI MKUU

NA KAMA KUNA YA KUJAZIA MTUJUZE..WATU WAPONE MWAMPOSA KUHAN MUSA WANAZIDIWA NA HAWA WATU
 
Unaweza usifie kwenye unywaji lakini ukafia Kwenye kidonda cha demu. Kupanga ni kichagua
Mkuu.ukiwa na akilizakoo timmamu ukapita kavu kufa tu

Ila wengi wao wanaoenda kavu wanakuwa wamekunywa mkuu asikwambie mtu ukiingia Lodge za sinza wanaume wanahang na malaya wako hoi mbaya ingia ndan rejea Lodge ya uncle aisee zilexondm kama zote unazikuta ndani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom