Premier League imerejea, Man United vs Fulham mzigoni

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,678
6,476
Msimu wa 2024/25 katika Ligi Kuu ya England “Premier League” unatarajiwa kuanza leo Agosti 16, 2024 ambapo utaendelea hadi Mei 25, 2025, bingwa mtetezi akiwa ni Manchester City.

Timu ya Manchester United inafungua pazia kwenye Uwanja wa Old Trafford kwa kuikaribisha Fulham, huku mechi nyingine kubwa wikiendi hii ikitarajiwa kuwa kati ya Manchester City dhidi ya Chelsea, keshokutwa Agosti 18, 2024

Agosti 16, 2024
Man United vs Fulham 4:00 Usiku

Agosti 17, 2024

Ipswich vs Liverpool 8:30 Mchana
Arsenal vs Wolves 11:00 Jioni
Everton vs Brighton 11:00 Jioni
Newcastle vs Southampton 11:00 Jioni
Nottingham vs Bournemouth 11:00 Jioni
West Ham vs Aston Villa 1:30 Usiku

Agosti 18, 2024
Brentford vs C.Palace 10:00 Jioni
Chelsea vs Man City 12:30 Jioni

Agosti 19, 2024
Leicester City vs Tottenham 4:00 Usiku
 
Manyuuu asipokaa sawa anapigwa vizuri tuuu, Chelsea ataendelea pale alipoishia kuelekea nafasi ya 12
 
Back
Top Bottom