Premier betting morogoro yafirisika......?

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,588
11,669
Ni siku mbili sasa kampuni ya premier betting imejisababishia hasara kubwa kwa vituo vyote vya morogoro kwa kukosa karatasi za kutolea tiketi.

Nini maoni yako.
 
Ni siku mbili sasa kampuni ya premier betting imejisababishia hasara kubwa kwa vituo vyote vya morogoro kwa kukosa karatasi za kutolea tiketi.

Nini maoni yako.
cku hizi kwenye simu unaipata, vikaratasi vimepitwa na wakat sasa, cheza online
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom