Kuelekea 2025 Predection: CCM itashinda zaidi ya 90%- 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
4,223
6,538
Katika dunia ya leo kuna technolojia ya "Akili Bandia" au "Inteligensia ya Bandia." Hii inafanya utabiri baada ya Researcher kukusanya Data. (secondary data au Primary data) Researcher anaweza kutumia aina ya Machine learning moja, 2 au 3 ili kuweza kutabiri (Predection) kwa jambo litatokea.

Unaweza kutumia Deep learning, Random Forest, Regression na nyengine. Mimi nimetumia Machine learning (Random forest ) katika utabiri wangu. Result ni kwmba CCm Chini ya Dr Samia itapa ushindi 90% dhidi ya vyama vyengine. Mikoani CCM inapendwa sana kuliko Chadema

UTAFITI HUPINGWA KWA UTAFITI
 
Katika dunia ya leo kuna technolojia ya "Akili Bandia" au "Inteligensia ya Bandia."
Hii inafanya utabiri baada ya Researcher kukusanya Data. (secondary data au Primary data)
Researcher anaweza kutumia aina ya Machine learning moja, 2 au 3 ili kuweza kutabiri (Predection) kwa jambo litatokea.
Unaweza kutumia Deep learning, Random Forest, Regression na nyengine.
Mimi nimetumia Machine learning (Random forest ) katika utabiri wangu.
Result ni kwmba CCm Chini ya Dr Samia itapa ushindi 90% dhidi ya vyama vyengine.
Mikoani CCM inapendwa sana kuliko Chadema

UTAFITI HUPINGWA KWA UTAFITI
Malaria Sugu safi sana kwa hii post
 
Kwa katiba hii mbovu unategemea watashindwa?
 
CCM chama cha ajabu mno, akili zao sikuzote ni kushinda chaguzi Tu, nothing else
 
Katika dunia ya leo kuna technolojia ya "Akili Bandia" au "Inteligensia ya Bandia."
Hii inafanya utabiri baada ya Researcher kukusanya Data. (secondary data au Primary data)
Researcher anaweza kutumia aina ya Machine learning moja, 2 au 3 ili kuweza kutabiri (Predection) kwa jambo litatokea.
Unaweza kutumia Deep learning, Random Forest, Regression na nyengine.
Mimi nimetumia Machine learning (Random forest ) katika utabiri wangu.
Result ni kwmba CCm Chini ya Dr Samia itapa ushindi 90% dhidi ya vyama vyengine.
Mikoani CCM inapendwa sana kuliko Chadema

UTAFITI HUPINGWA KWA UTAFITI
kuna ukweli zaidi ya 95% kwenye hili gentleman 👊💪🐒
 
Wanaachaje kwa mfano? Katiba hii, na kila chombo kiko chini yao mbona hata wewe ukiwa na mamlaka hayo ni rahisi sana?
 
Kwa sababu ni akili bandia hatuna shaka ikitoa majibu bandia.
Halafu hapo ulipoandika "pedection" ni AI au?
Nimeangalia chart Gpt " Open AI" sasa hivi haoneshi prediction uliyoandika hapo zaidi ya kuonesha matokeo kuwa determined na hali ya kisiasa itakabyokuwa.
......................
Ukweli uitwe ukweli ova.
 
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Refa, linesman, kamisaa wote unalazimsha wewe ndio uwachague, unapotezaje pambano hapo? Hakuna watu wanaojitambua wataendelea kujitokeza kupoteza muda wako kwenye hilo igizo liitwalo uchaguzi. Inshort mazombie ndio watajitokeza kupiga kura. Na kwa mazombie hao, hata hiyo 90% ni kama umekadiria chini.
 
Wewe acha kujidanganya na akili bandia , binafsi nimeuliza Jakaya Mrisho kikwete ni nani na majibu yake ni hapa chini ⬇️

≤<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<>>>>>>

Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka 2005 hadi 2015.

Hapa kuna baadhi ya mambo muhimu kuhusu yeye:

• Alizaliwa: 7 Oktoba 1950, katika kijiji cha Bawati, wilaya ya Mvomero, mkoa wa Morogoro.

• Elimu: Alipata elimu yake ya msingi katika shule za Mvomero na Morogoro, na elimu ya sekondari katika shule ya sekondari ya Mzumbe. Baada ya hapo, alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ambapo alipata shahada ya kwanza katika uchumi.

• Kazi: Alifanya kazi katika wizara mbalimbali za serikali kabla ya kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kutoka 1994 hadi 2005.

• Urais: Alichaguliwa kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2005, na akachaguliwa tena mwaka 2010.

• Uongozi: Wakati wa uongozi wake, alizingatia masuala ya elimu, afya, na maendeleo ya uchumi. Pia alikuwa mtetezi wa amani na usalama katika mkoa wa Afrika Mashariki.

• Baada ya urais: Baada ya kumaliza muda wake wa urais, Kikwete ameendelea kuwa mtetezi wa amani na usalama katika Afrika.

Jakaya Kikwete ni mmoja wa viongozi muhimu wa Tanzania, na ameacha alama kubwa katika histoJakaya Mrisho Kikwete alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka 2005 hadi 2015.

============≠======
Jakaya Mrisho Kikwete was the fourth president of Tanzania, serving from 2005 to 2015. Here's a breakdown of his key roles and achievements:

Early Life and Education:

• Born on October 7, 1950, in the village of Bawati, Mvomero District, Morogoro Region.

• Attended primary schools in Mvomero and Morogoro, followed by secondary education at Mzumbe Secondary School.

• Graduated with a Bachelor of Arts degree in Economics from the University of Dar es Salaam.

Political Career:

• Began his political career as a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party.

• Served in various ministerial positions, including Minister of Finance and Minister of Foreign Affairs.

Became Prime Minister of Tanzania from 1994 to 2005.

Presidency (2005-2015):

• Elected president in 2005 and re-elected in 2010.

• Focused on economic development, education, and healthcare during his tenure.

• Played a significant role in promoting peace and security in the East African region.

• Notably, he led Tanzania in the fight against poverty and championed the Millennium Development Goals.

Post-Presidency:

• Continued to advocate for peace and security in Africa after leaving office.

• Served as a member of the Elders, an independent group of global leaders working to address global challenges.

Legacy:

• Kikwete is remembered as a popular and influential leader who played a key role in Tanzania's development.

• He is credited with fostering economic growth and improving access to education and healthcare.

• His commitment to regional peace and security earned him respect both within Tanzania and internationally.

Overall, Jakaya Mrisho Kikwete is a significant figure in Tanzanian history, leaving a lasting impact on the country's political and economic landscape.
 
Back
Top Bottom