Mkuu bryan 2
Tatizo kubwa la nchi yetu ni kwamba taasis au mifumo iliyopewa kazi ya kusimamia Afya bado ina pwaya sana.
No effective supervision ya hizi hospitali zetu hasa vituo vya afya binafsi.
Kingine watu wanapenda vya bei nafuu sana ndio tatzo kubwa.
Huko private dispensaries wanapewa magonjwa ili wenye vituo wauze dawa.