Naona uko kazini...Gwajima aongea na waandishi wa habar na waumini wake amesema kuwa paul makonda ana wivu wa kimaendeleo alioupata yeye ndio maana anamsakama amesema suala la yeye kumilik chopa linamuuliza sana gwajima ndio maana anamsakama. Akaenda mbali zaidi akasema kwa nn hakumtaja lizy 1 ambaye amekuwa akisakamwa na waty wengi hata dr. Slaa amewahi kumtaja hadhan kujihusisha na madawa.
Mshenga anaaza, hakawaii kumstoopisha mtu.
Makonda ana akili sana wanavyojichanganya wenyewe mpaka raha yani halaf wao hawajui jamaa ana data kuliko wanavyojua dhambi mbaya sanaGwajini tunaomba uriport central. Hili povu la homo likipigwa upepo linaisha. Kama unauza madawa kweli lazima wakusweke ndani tu.
Alafu makunda ukue. Acha mambo ya kitoto. Kama uliweza kumzaba yule babu yako kibao na akakuacha. Sasa uku kuna wale watadeal na wewe. Yan lazima walale na wewe mbele. Sio kila mtu wakumtaftia kiki
Mechi imevurugika ,tunasubiri kuona atakavyo muitisha godfather wakeMakonda ana akili sana wanavyojichanganya wenyewe mpaka raha yani halaf wao hawajui jamaa ana data kuliko wanavyojua dhambi mbaya sana
huyu jamaa amekaa china mpaka herufi zake zinataka kufanan na zile zakichina..Orodha hii hapa
Hahhahahahahahhahahahaha,uwiiii jamani,mi sio muumini wake ila nimeona huruma jamaniUtaona misukule yake itakavyoandamana
Mtoto wa mtaaniHivi Makonda alilelewa na wazazi au amekulia kwenye kituo cha Malezi