Post za chuo kwa walopata 3 ya point 25, zinatoka lini?

dah yaan me nacte pamekuwa kama ghetto kila siku naingia af hamna ishu
 
kwani hata fununu hazjackika kuhusu [HASHTAG]#nacte[/HASHTAG] online jamani make kitaaaa kinaboa kiukweli doooohu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…