Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,750
- 121,800
Wanabodi,
Niko hapa Dodoma kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM, nimelala bonge la hotel, bonge la chumba, bonge la kitanda, ila sisi watu wa yale mablengeti, nimejikuta nimekosa kabisa usingizi, hivyo 12 :00 asubuhi nika tune TBC kipindi cha Jambo Live.
Leo kuna watangazaji watatu mahiri kabisa, sikuyashika majina yao ila nimeguswa sana na utangazaji wao, umahiri wao, objectivity yao, na kubwa kuliko ni genuinety yao!.
Huyu mtangazaji aliyeongoza jambo ya leo, ana weza kabisa kuendesha kipindi kama Kiti Moto!.
Wameanza kuzungumzia kidogo siasa, wakazungumzia kidogo mkutano mkuu wa CCM, kisha uchaguzi wa Chadema.
Mtangazaji mwendeshaji alitumia style ya maswali ya kiti moto style kuuchambua uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema.
The most interesting part ni jinsi mtangazaji mwendeshaji alivyo husianisha uchaguzi wa mwenyekiti wa chadema na urais wa 2025.
Aliwachambua wagombea wawili wakuu Tundu Lissu na Freeman Mbowe, kisha akawachambua wagombea wote wa urais wa chadema toka kuanza kwa mfumo wa vyama vingi.
Akasema yeyote atakayeshinda uchaguzi wa chadema anakwenda kupambana na Samia wa CCM October kwenye uchaguzi Mkuu.
Mtangazaji kiongozi akawauliza kati ya mpambano wa Samia na Mbowe na Samia na Lissu, upi utakuwa mpambano moto?.
Mchambuzi wa kwanza akaufyata na kusema huwezi kuniingiza kwenye huo mtego, nimeushutukia sijibu kitu!.
Mchambuzi wa pili, akasema mpambano moto ni Samia na Tundu Lissu ndio utaleta hamasa uchaguzi wa rais 2025 kwasababu Tundu Lissu ndie mtu anae trends zaidi kuliko Mbowe kwasababu Mbowe amezoeleka, hana jipya!.
Mchambuzi huyu amesema angependa kuona mchuano wa Samia na Lissu urais 2025.
Hawa vijana wote watatu wamenikosha, mwendeshaji kwa maswali ya uchokozi, mchangiaji mmoja muoga kama kunguru, anachangia kwa nidhamu ya uoga. Mchangiaji mwingine very objective and genuine.
This is very good kwa TBC, Natoa pongezi zangu kwa TBC kwa uchambuzi mahiri kama huu wa Siasa za Bongo kuchambua chama cha upinzani kama Chadema, kuna wakati TBC walikuwa wanaiogopa Chadema kama ukoma!.
Huu ni uthibitisho TBC ya Dr. Rioba ni TV ya Watanzania wote, Vyama Vyote na vyama vyote, hivyo tulifute rasmi lile jina la TBCCM!.
Big Up Dr Ayub Rioba for TBC transfornation from Government Broadcasting Statition into Public Broadcasting Station.
Paskali.
Update
Baada ya Tundu Lissu kushinda, media zote, zimejikita kwenye kutangaza tuu matokeo na ushindi, TBC ndio TV pekee imetia timu kijijini kwa Lissu, kule Ikungi, ikaongea na mama yake mzazi, dada yake na majirani zake.
Hii inaitwa news divesity.
TBC inaongoza kwa news divesity.
Mambo mengine mengi ambayo TBC inaongoza ni pamoja na

- Live News Interactive!-TBC-1 Yastahili Pongezi!. ''Hongera TBC-1" Keep it Up!
- Television ya Taifa,TBC, Imetisha!. Yarusha Live Mbili Kwa Wakati Mmoja! Live ya Dodoma on TBC1 At the Same Time Live ya Arusha TBC2- Safari Channel
- Kampeni UKAWA: Mnyonge Mnyongeni!, TBC, Inastahili Pongezi!, Jana Imefanya Kazi Nzuri Iliyotukuka!
- TBC Yafanya Kweli!, Yashusha OB Van ya Kufa Mtu!, Ina Kamera 12!. Itarusha HDV Signal Kama DSTV.