Pongezi kwa mawaziri wote; hakika wanachapa kazi

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,663
8,508
Natoa pongezi za dhati kabisa kwa safu yote ya Mawaziri chini ya Amiri Jeshi Mkuu Mama Samia.
Nieikubali safu hii ya mawaziri aliyo ipanga wanachapa kazi.

Kila nikiwasikiliza na kuwatizama utendaji wao wa kazi hakika wanastahili.

Wizara ya Elimu inafanya vizuri sana, Ardhi, Miundombinu, Fedha, kilimo, Nishati, Maji, Tamisemi, Ujenzi , Uchukuzi, Mambo ya Nje, Viwanda, Mifugo, uwekezaji. Tunawaona Mawaziri wanavyo chakarika.

Hongereni sana wasaidizi wa Rais, hivyo ndivyo wananchi tunavyo taka. Msilinde viti vyenu bali watumikieni wananchi kwa nguvu na ari.

Mkiaminiwa jitumeni msilale, wacheni uzembe, timizeni wajibu wenu kwa asilimia 100.

Hongereni sana kwa wale wote mnaojituma.
 
Hasomi report ya CAG

HATA HIVYO
hujawataja
1. Ulinzi
2. Mambo ya nje
3. Uchukuzi
4. Mambo ya ndani


Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala BoraPresident’s Office Public Service Management and Good Governance


Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za MitaaPresident's Office Regional Administration and Local Governmenthttps://www.tamisemi.go.tz/

Ofisi ya Makamu wa RaisVice President's Officehttps://www.vpo.go.tz/


Ofisi ya Waziri MkuuPrime Minister's Officehttps://www.pmo.go.tz/

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na WatotoMinistry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Childrenhttps://www.moh.go.tz/sw/

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya MakaziMinistry of Lands, Housing and Human Settlements Developmenthttps://www.lands.go.tz/

Wizara ya Elimu, Sayansi naTeknolojiaMinistry of Education, Science and Technologyhttps://www.moe.go.tz/

Wizara ya Fedha na MipangoMinistry of Finance and Planninghttps://www.mof.go.tz/

Wizara ya Utamaduni, Sanaa na MichezoMinistry of Culture, Arts and Sportshttps://www.habari.go.tz/

Wizara ya KilimoMinistry of Agriculturehttps://www.kilimo.go.tz/index.php/


Wizara ya MajiMinistry of Waterhttps://www.maji.go.tz/

Wizara ya Maliasili na UtaliiMinistry of Natural Resources and Tourismhttps://www.maliasili.go.tz/

Wizara ya Mambo ya Ndani ya NchiMinistry of Home Affairshttps://www.moha.go.tz/

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika MasharikiMinistry of Foreign Affairs and East African Co-operationhttps://www.foreign.go.tz/

Wizara ya Mifugo na UvuviMinistry of Livestock and Fisherieshttps://www.mifugouvuvi.go.tz/

Wizara ya Ujenzi na UchukuziMinistry of Works and Transporthttps://www.mwt.go.tz/

Wizara ya NishatiMinistry of Energyhttps://www.nishati.go.tz/

Wizara ya Sheria na KatibaMinistry of Constitutional and Legal Affairshttps://www.sheria.go.tz/

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga TaifaMinistry of Defence and National Servicehttps://www.modans.go.tz/

Wizara ya MadiniMinistry of Mineralshttps://www.madini.go.tz/
 
Hasomi report ya CAG

HATA HIVYO
hujawataja
1. Ulinzi
2. Mambo ya nje
3. Uchukuzi
4. Mambo ya ndani
Nimetaja chache lakini Wizara zote zinafanya vizuri sana.

Zipo baadhi zimepowa kama Utalii, Katiba na Sheria
 
Back
Top Bottom