Polisi watoa tamko tukio la jaribio la utekaji Kiluvya, wasema uchunguzi umeanza toka aliporipoti Novemba 11, 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Nov 17, 2023
1,416
3,978
Wakuu,

Baada ya video kutoka ndio tunajuzwa tukio lilitokea juzi! Bila video kuja kitaa wananchi tujakua lililotokea uchunguzi ungefanyika kweli au ndio lingeisha kimyakimya, pengine na kaka wa watu kwenda kuchukuliwa tena mara hii wakiwa wamwjipanga?

Halafu mbona wanaremba maneno hivyo "watu waliojaribu kumkamata na kumuingiza kwa nguvu kwenye gari", raia tunaona bana UTEKAJI uliokuwa unata kufanyika.

Pia soma: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

=====

Polisi yaanza Uchunguzi wa picha mjongeo inayoonesha Watu wakijaribu kumkamata na kujaribu kumwingiza Kwa nguvu Ndani ya gari Bw. DEOGRATIUS TARIMO ambaye ni Mfanyabiashara na Mkazi wa Kibaha Pwani.

20241113_042356.jpg
 
Katika hili kwa mbaaali naweza kuwamini Polisi kutokana na mwonekano wa yule Dogo aliyevaa tshirt nyeusi! Ki ukweli sijawahi ona polisi wa kiume akiwa na nywele ndefu! Sitaki ku-conclude kwamba hawapo lakini binafasi sijawahi kuwaona, na amini usiamini, polisi wanaongoza kwa u-smart. CHUNGUZA!
 
Unawajua polisi wa task force. Wengine wana rasta kabisa.
 
Katika hili kwa mbaaali naweza kuwamini Polisi kutokana na mwonekano wa yule Dogo aliyevaa tshirt nyeusi! Ki ukweli sijawahi ona polisi wa kiume akiwa na nywele ndefu! Sitaki ku-conclude kwamba hawapo lakini binafasi sijawahi kuwaona, na amini usiamini, polisi wanaongoza kwa u-smart. CHUNGUZA!
Naïveté
 
Polisi wanatakiwa kutoa mwongozo wa namna ya ukamafaji waharifu.
Ili ikionekana Kuna ukamafaji wa namna nyingine basi mkamatwaji ajilinde kwa namna yoyote ile.
Na pia Polisi iwaambie wananchi kuwa kama kunatokea ukamatwaji wa aina nyingine basi wananchi wawachukulie hatua watakayo weza hao wakamataji.
Siasa zisiwe chanzo cha kutokana roho.
 
Katika hili kwa mbaaali naweza kuwamini Polisi kutokana na mwonekano wa yule Dogo aliyevaa tshirt nyeusi! Ki ukweli sijawahi ona polisi wa kiume akiwa na nywele ndefu! Sitaki ku-conclude kwamba hawapo lakini binafasi sijawahi kuwaona, na amini usiamini, polisi wanaongoza kwa u-smart. CHUNGUZA!
Una safari ndefu bwanamdogo, polisi wana hadi rasta.
Au unadhani polisi ni wale wanaokua pale reception pekee??
 
Katika hili kwa mbaaali naweza kuwamini Polisi kutokana na mwonekano wa yule Dogo aliyevaa tshirt nyeusi! Ki ukweli sijawahi ona polisi wa kiume akiwa na nywele ndefu! Sitaki ku-conclude kwamba hawapo lakini binafasi sijawahi kuwaona, na amini usiamini, polisi wanaongoza kwa u-smart. CHUNGUZA!
Pumbavu zako.Polisi wapo mpaka wana Rasta. Hivi unafikiri Watanzania wote ni mazuzu?
 
Katika hili kwa mbaaali naweza kuwamini Polisi kutokana na mwonekano wa yule Dogo aliyevaa tshirt nyeusi! Ki ukweli sijawahi ona polisi wa kiume akiwa na nywele ndefu! Sitaki ku-conclude kwamba hawapo lakini binafasi sijawahi kuwaona, na amini usiamini, polisi wanaongoza kwa u-smart. CHUNGUZA!

..hujasikia SATIVA akisema kwamba jamaa mwenye rasta ni mmoja wa Polisi waliomteka, na kujaribu kumuua?
 
Back
Top Bottom