Polisi waokoa watoto 251 na kukuta miili 16 iliyozikwa kwa siri katika dhehebu tata Zimbabwe

Accumen Mo

JF-Expert Member
May 15, 2022
18,038
39,701
Dhehebu lenye mlengo wa dini ya kikristo laua watu huko zimbabwe , Wengine 251 waokolewa

Haya madhehebu yanamaliza watu ukiachana na wale wa kenya waliokufa mia mbili na kitu.
---
Watoto waliookolewa "walikuwa wakitumiwa kufanya shughuli mbalimbali kwa manufaa ya kiongozi wa dhehebu", taarifa ya polisi ilisema.

Polisi walisema wengi wa watoto hao 251 waliopatikana katika shamba la Ishmael Chokurongerwa, 56 huko Nyabira, hawakuwa na vyeti vya kuzaliwa na hawakuruhusiwa kuhudhuria shule.

Polisi pia waligundua kaburi katika shamba hilo ambapo watu 16 wamezikwa kwa siri, wakiwemo watoto wachanga saba.

Mmoja wa washiriki wa madhehebu hayo aliwaambia waandishi kwamba elimu rasmi shuleni haitakiwi na Mungu “kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya Mungu”.

Source: BBC News swahili
 
Wameua watu 16 na wengine 251 wameokolewa...Jamaa kaja na kick ya unabii kushika wajinga
1710431763397.jpg
 
Kama kwa imani yao kama ilivyokuwa kwa Kibwetere wameamua kutoana kafara who cares? Ondoka kwenye hilo dhehebu to be safe!

Shida inakuja pale vichaa kwa mwavuli wa dini kutaka kulazimisha wasiohusika wafuate dini na miungu yao! Don't you see the difference?
 
Waganga, wachawi na walozi wanaojiingiza na kujishikisha kwenye dini ila sio wana imani. Hizo ni cults na sio Ukristo kwani ukristo umejengwa kwenye mwamba imara ambao ni Neno la Mungu.
 
Mleta mada kuna ujumbe anataka ku-convey! Read between the lines.
 
Dhehebu lenye mlengo wa dini ya kikristo laua watu huko zimbabwe , Wengine 251 waokolewa

Haya madhehebu yanamaliza watu ukiachana na wale wa kenya waliokufa mia mbili na kitu.
---
Watoto waliookolewa "walikuwa wakitumiwa kufanya shughuli mbalimbali kwa manufaa ya kiongozi wa dhehebu", taarifa ya polisi ilisema.

Polisi walisema wengi wa watoto hao 251 waliopatikana katika shamba la Ishmael Chokurongerwa, 56 huko Nyabira, hawakuwa na vyeti vya kuzaliwa na hawakuruhusiwa kuhudhuria shule.

Polisi pia waligundua kaburi katika shamba hilo ambapo watu 16 wamezikwa kwa siri, wakiwemo watoto wachanga saba.

Mmoja wa washiriki wa madhehebu hayo aliwaambia waandishi kwamba elimu rasmi shuleni haitakiwi na Mungu “kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya Mungu”.

Source: BBC News swahili
Basi hapo accumen kafurahiii ukizingatia uzi kaposti ashafuturu sasa hivi barazani hapo kumechangamka balaa.

Dah ila wagalatia sijui tunakwama wapi? Tunamuangusha sana Yesu kizembe.

adriz Jagina Mufti kuku The Infinity hydroxo
 
Dhehebu lenye mlengo wa dini ya kikristo laua watu huko zimbabwe , Wengine 251 waokolewa

Haya madhehebu yanamaliza watu ukiachana na wale wa kenya waliokufa mia mbili na kitu.
---
Watoto waliookolewa "walikuwa wakitumiwa kufanya shughuli mbalimbali kwa manufaa ya kiongozi wa dhehebu", taarifa ya polisi ilisema.

Polisi walisema wengi wa watoto hao 251 waliopatikana katika shamba la Ishmael Chokurongerwa, 56 huko Nyabira, hawakuwa na vyeti vya kuzaliwa na hawakuruhusiwa kuhudhuria shule.

Polisi pia waligundua kaburi katika shamba hilo ambapo watu 16 wamezikwa kwa siri, wakiwemo watoto wachanga saba.

Mmoja wa washiriki wa madhehebu hayo aliwaambia waandishi kwamba elimu rasmi shuleni haitakiwi na Mungu “kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya Mungu”.

Source: BBC News swahili
Ingewezekana Makanisa ya kipunguani yapigwe marufuku Africa ,Utapeli na uuaji wa kutoka kafara
 
Unatakiwa uwe mpuuzi ndio uamini kua Yesu ni mungu.
Pia unatakiwa uwe chizi ndio uwe mfuasi wa dini ya kikristo.

Kibwetere aliwachoma wapuuzi kibao kule uganda.
Kuna mwamba hapo Kenya amesababisha vifo vya machizi kibao na mpaka leo kesi ipo mahakamani.
Hapo juzi tu, Papa anawataka wendawazimu wafumuane mitaro.

Ujinga kama huo huwezi sikia kwenye dini ya kweli ya uislam.

Uislam ndio dini ya kweli, huo ukristo ni upagani ulio changamka.
 
Ingewezekana Makanisa ya kipunguani yapigwe marufuku Africa ,Utapeli na uuaji wa kutoka kafara
Mbona papa karuhusu wakristo wavubuane mitaro na hamlalamiki kua Roma nayao ifungiwe?

Ukristo sio dini ya kweli, ni upuuzi tu.
 
Waganga, wachawi na walozi wanaojiingiza na kujishikisha kwenye dini ila sio wana imani. Hizo ni cults na sio Ukristo kwani ukristo umejengwa kwenye mwamba imara ambao ni Neno la Mungu.

Nani ni mkristo kati ya makanisa zaidi ya laki yaliyo tofauti
 
Hahaaaaaaa, makanisa hata yakowa 1B ila kama kanisa tunaamini katika Kuzaliwa kwa Kristo, mateso ya kristo, kufa na kufufuka kwa Kristo pia kurudi kwa mara ya pili ya Kristo. Kilichoweka utofauti ni mapokeo ya kimwili ila wote tunaamini katika Kristo.

Naomba nikuulize nawe unijibu? Kwanini kuna uhasama na mauaji kati ya Shia, sunny, ahamdiya na jamii nyingine za uislam? Je ushawahi sikia Waroma Catholic wanapigana au kuuana na Waprotestant?
 
Unaweza kuweka ushahidi wa maneno uliyosema kutoka biblia?
 
Dhehebu lenye mlengo wa dini ya kikristo laua watu huko zimbabwe , Wengine 251 waokolewa

Haya madhehebu yanamaliza watu ukiachana na wale wa kenya waliokufa mia mbili na kitu.
---
Watoto waliookolewa "walikuwa wakitumiwa kufanya shughuli mbalimbali kwa manufaa ya kiongozi wa dhehebu", taarifa ya polisi ilisema.

Polisi walisema wengi wa watoto hao 251 waliopatikana katika shamba la Ishmael Chokurongerwa, 56 huko Nyabira, hawakuwa na vyeti vya kuzaliwa na hawakuruhusiwa kuhudhuria shule.

Polisi pia waligundua kaburi katika shamba hilo ambapo watu 16 wamezikwa kwa siri, wakiwemo watoto wachanga saba.

Mmoja wa washiriki wa madhehebu hayo aliwaambia waandishi kwamba elimu rasmi shuleni haitakiwi na Mungu “kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya Mungu”.

Source: BBC News swahili
Cult..
 
Kama kwa imani yao kama ilivyokuwa kwa Kibwetere wameamua kutoana kafara who cares? Ondoka kwenye hilo dhehebu to be safe!

Shida inakuja pale vichaa kwa mwavuli wa dini kutaka kulazimisha wasiohusika wafuate dini na miungu yao! Don't you see the difference?
Wewe sema wazi waislamu unawaogopa?, wao huwa ni nyani haoni kundule
 
Dhehebu lenye mlengo wa dini ya kikristo laua watu huko zimbabwe , Wengine 251 waokolewa

Haya madhehebu yanamaliza watu ukiachana na wale wa kenya waliokufa mia mbili na kitu.
---
Watoto waliookolewa "walikuwa wakitumiwa kufanya shughuli mbalimbali kwa manufaa ya kiongozi wa dhehebu", taarifa ya polisi ilisema.

Polisi walisema wengi wa watoto hao 251 waliopatikana katika shamba la Ishmael Chokurongerwa, 56 huko Nyabira, hawakuwa na vyeti vya kuzaliwa na hawakuruhusiwa kuhudhuria shule.

Polisi pia waligundua kaburi katika shamba hilo ambapo watu 16 wamezikwa kwa siri, wakiwemo watoto wachanga saba.

Mmoja wa washiriki wa madhehebu hayo aliwaambia waandishi kwamba elimu rasmi shuleni haitakiwi na Mungu “kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya Mungu”.

Source: BBC News swahili
So unataka kunya kwenye baraza la wazee tena kwa Siri!
 
Back
Top Bottom