Polisi wageuka wapiga kura

Unataka kusema polisi wote wamepangiwa kwenye vituo walivyojiandikishia?
 
Yaani ccm mshipa wa aibu haupo kabisa, nashangaa hawaja anza tuu kutembea uchi maana fahanu za kujua hata thamani ua utupu sidhani kama ipo
 
Mmoja wa wapiga kura huko Mkunguni Unguja akipiga kura akiwa amevaa sare ya chama cha mapinduzi kinyume cha sheria ya uchaguzi ya mwaka 2010 (Cap 343) inayozuia mpiga kura kuvaa sare yoyote ya chama cha siasa siku ya kupiga kura.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…