Polisi tumieni pesa ya CCM kunyanyasa wapinzani sio mali za Serikali

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
7,009
9,569
Polisi msipoteze pesa za wananchi kwa kufanya kazi za manufaa binafsi ya wachache wana CCM na viongozi wa usalama wa taifa ambao wanaangalia kazi zao.

Fujo hewa na za kutunga mtazianzisha nyie wenyewe hakuna ushahidi wa fujo yeyote zaidi ya ujinga jinga na kutafuta kiki kwa bunduki.

Msije kufikiri mnasaidia nchi kwa mnayofanya badala yake mnachafua nchi.

CCM toeni pesa zenu kama mnataka Polisi wafanya kazi zenu. Polisi wamekuwa wakitumika kama watoto, hawana misimamo yeyote
 
Hivi kuna tofauti kati ya hela ya CCM na serekaii?

Maana huwa wanaimba mama ametoa

Mama Ambaye ni Rais wetu na Mwenyekiti wa Chama chao,
 
Si sahihi.....

Kikatiba kazi ya polisi ni kulinda USALAMA wa raia na mali zao....

Kwa yale maneno yake Mwaipaya ya kuhamasisha "civil unrest" kutaka kuyafanya waliofanya vijana wenzetu wa Kenya ,ulitaka polisi wakae kimya na wafumbe macho na masikio ?!!!

Wangefanya hivyo basi wao ndio wangekuwa ni WAHAINI wa Kwanza.....

#Nchi Kwanza

#Pinga Vurugu

#Pinga CIVIL UNREST
 
Hivi kuna tofauti kati ya hela ya CCM na serekaii?

Maana huwa wanaimba mama ametoa

Mama Ambaye ni Rais wetu na Mwenyekiti wa Chama chao,
Chama kimeshika hatamu....

Katiba ya nchi inalitambua hilo...

#Nchi Kwanza

#Pinga Vurugu

#Pinga Civil Unrest
 
Polisi msipoteze pesa za wananchi kwa kufanya kazi za manufaa binafsi ya wachache wana CCM na viongozi wa usalama wa taifa ambao wanaangalia kazi zao.

Fujo hewa na za kutunga mtazianzisha nyie wenyewe hakuna ushahidi wa fujo yeyote zaidi ya ujinga jinga na kutafuta kiki kwa bunduki.

Msije kufikiri mnasaidia nchi kwa mnayofanya badala yake mnachafua nchi.

CCM toeni pesa zenu kama mnataka Polisi wafanya kazi zenu. Polisi wamekuwa wakitumika kama watoto, hawana misimamo yeyote

Hadi machawa wamechoka

View: https://youtu.be/2ObgfrECy4c?si=x1h5_aNrD8X7N0gA
 
Back
Top Bottom