Upendeleo huu kumbe ni wa kila siku, basi kutakua na kitu wanakizingatia, na sio upendeleo Bali ni utaratibu, pole Sana kwa kukerwa.Pamoja na sifa zao zote, Ila wakati mwingine hekima huwatoka.
Mfano, pale ubungo mataa priority yao kubwa ni mabasi ya mikoani kuliko njia zingine, asubuhi unakuta njia ya kwenda kimara inapewa upendeleo zaidi ya njia zingine, na jioni njia ya kwenda mjini inakuwa inatembea zaidi ya njia zingine just mabasi yapite tu.
2. Siku hizi wamekuwa mawakala wa TRA badala ya kuelimisha madereva, unaweza kukuta kosa ni la kuelekeza tu lakini unakuta anakupiga fine hadi unashangaa.
Elimu ya msingi kwa madereva ni kwenye shule za udereva, polisi wanatoa elimu kwa watumiaji wa Barabara km kuna jambo jipya sana, vinginevyo kazi ya msingi ya Polisi wa Usalama barabarani imejikita zaidi kwenye kuchukua hatua zaidi kwa mtindo wa tozo ya papo kwa papo au ikibidi kufikishwa mahakamani.Pamoja na sifa zao zote, Ila wakati mwingine hekima huwatoka.
Mfano, pale ubungo mataa priority yao kubwa ni mabasi ya mikoani kuliko njia zingine, asubuhi unakuta njia ya kwenda kimara inapewa upendeleo zaidi ya njia zingine, na jioni njia ya kwenda mjini inakuwa inatembea zaidi ya njia zingine just mabasi yapite tu.
2. Siku hizi wamekuwa mawakala wa TRA badala ya kuelimisha madereva, unaweza kukuta kosa ni la kuelekeza tu lakini unakuta anakupiga fine hadi unashangaa.
Shule gani ya udereva inakufundisha namna ya kutumia hizi barabara za mpya za morogoro road (kimara-Sokoine drive, Kimara - Morocco, msimbazi, etc).Elimu ya msingi kwa madereva ni kwenye shule za udereva, polisi wanatoa elimu kwa watumiaji wa Barabara km kuna jambo jipya sana, vinginevyo kazi ya msingi ya Polisi wa Usalama barabarani imejikita zaidi kwenye kuchukua hatua zaidi kwa mtindo wa tozo ya papo kwa papo au ikibidi kufikishwa mahakamani.
Kuhusu Morogoro Rd kupendelewa, Mara mbili nikiwa katika mabasi tofauti, niliwahi kuthibitisha upendeleo huo kwa traffic anayekuwa zamu pale ubungo mataa hupigiwa simu na kuomba kusogezwa, tulikuwa Kimara dereva akampigia simu jamaa - traffic kuwa nisogeze nivute nikawahi kupumzika, nilichoshuhudia jamaa alipiga moto na baada kuvuka zile taa za ubungo traffic akazuia magari ya kutoka kimara na kuruhusu yanayotoka external.Upendeleo huu kumbe ni wa kila siku, basi kutakua na kitu wanakizingatia, na sio upendeleo Bali ni utaratibu, pole Sana kwa kukerwa.