Bado wanaweka sawa mabomu yao kabla hawajaanza kujilipua jukwaaniNaona hawajaamka...nitarudi tena
Kumbe hujawafananisha wewe kawafananisha mzungu!? Still upo kwenye utumwa wa mind japo wewe unajiona upo huru. Ila mm mwenzako siamini kabisa uwepo wa mungu. Asubuhi njemaKama ni kweli waislam wenyewe wa Rwanda ndio wameamua hivyo basi hii ni hatua nzuri ya ukombozi wa kifikra kwa mtu mweusi.
Nasema hivi kwasababu mtu mweusi siku zote amekuwa mtumwa kwa kila jambo. Tumekuwa tunasubiri kuona mtu mweupe kafanya au kaamua nini ndipo nasisi tufuate.
Nina uhakika siku Saudi Arabia wakisema hakuna kuvaa Nigap basi mtu mweusi ataona ni sawa. Hali kadhalika siku Vatican wakisema mkristo anaruhusiwa kuwa na wake 3 pia ataona ni sawa.
Lakini pia sishangai sana kwa Rwanda kwasababu nilishawahi kusikia kuwa katika waafrika ambao IQ yao ipo juu sana ni wanyarwanda hasa watusi. Sababu mojawapo eti ni kwamba mtu mwenye IQ kubwa huwa hachekicheki ovyoo hasa kwenye vitu vya kawaida, huwa anacheka kwa nadra sana. Sasa mzungu aliona mtusi ana sifa hiyo tofauti na jamii nyingine za Kiafrika hasa wabantu ambao hata ukimuambia ngoja nikuchekeshe yeye anaanza tu kucheka kabla.
Pia hao watusi walifananishwa na wayahudi
Rwanda National Police (RNP), Imeunga Mkono maamuzi yaliyofikiwa na Baraza Kuu ya Waislamu la Rwanda la kupiga marufuku Niqab. Niqab ni vazi ambalo huvaliwa na wanawake wa Kiislamu kufunika uso mzima na Kubakiza macho tu.
Kupitia Msemajiwa Rwanda National Police (RNP), Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Celestin Twahirwa amesema, RNP imepokea Uwamuzi huo wa Baraza kuu kwa mikono Miwili na Kusema ni Uamuzi Mzuri katika kuimarisha Usalama na Ulinzi wa Nchi.
==============
RNP supports decision on Niqab by High Council of Muslims in Rwanda
Assistant Commissioner of Police (ACP) Celestin Twahirwa, Rwanda National Police spokesperson.
Following a decision by the High Council of Muslims in Rwanda banning Niqab, a veil worn by Muslim women covering the whole face apart from eyes, Rwanda National Police (RNP) has welcomed and supported the decision adding that it is a measure for safety and security.
The decision to ban Niqab, cloth that covers the face as a part of sartorial Hijab, was reached during the meeting of High Council of Muslims in Rwanda also known as Fatuwa held on May 14, 2016.
This also followed a report by the Muslim community in Rwanda that raised security concerns the Niqab is likely to cause in the face of the emerging security threats, which are cross-border and transnational in nature.
“Rwanda National Police supports any decision by any institution, religious denominations and other civil society organization that aims at complementing existing policies and initiatives to ensure maximum security,” said RNP spokesperson, Assistant Commissioner of Police (ACP) Celestin Twahirwa.
“Religious institutions and the Muslim community in particular are among RNP active partners in policing and if they find and decide that some of their traditions and beliefs pose security risks it is a healthy decision to do away with them for the general good and we will continue to work together to ensure public order,” he added.
Chanzo: RNP supports decision on Niqab by High Council of Muslims in Rwanda
Wanaibuka na wanapotea, acha wajipangeBado wanaweka sawa mabomu yao kabla hawajaanza kujilipua jukwaani
Na anko Magu alivo mtaalam wa kukopi na kupesti mavitu ya Rwanda.... Ngoja kwanza wataalam wa IT tokea huko wamalize kazi, huenda ikawa kifuatacho...Hiyo sheria itakuja hadi huku kwetu,jamaa wamechinja hadi wanao swali msikitini. Hakuna aliye salama. Nafikiria yale mabungurungutu ya pesa waliyopewa masheikh siku ya Idd. Nadhani ni maandalizi ya vikao, au ziara za mafunzo kwa kipenzi chetu Kagame
Hahahaha...hii mbn simple tu,si anasema tunadhibiti uhalifu na ugaidi..btw Rwanda uislamu uko sana Nyamirambo kulee nje kdg ya kigaliNa anko Magu alivo mtaalam wa kukopi na kupesti mavitu ya Rwanda.... Ngoja kwanza wataalam wa IT tokea huko wamalize kazi, huenda ikawa kifuatacho...
Taabu sanaMmmmh!!!kutokujielewa taabu kweli!!!
Ngoja tusubiri tuone...Hahahaha...hii mbn simple tu,si anasema tunadhibiti uhalifu na ugaidi..btw Rwanda uislamu uko sana Nyamirambo kulee nje kdg ya kigali
Naona hawajaamka...nitarudi tena
Ngoja niwaamshe. Kwa kuanzia niwaite THE BIG SHOW na kahtaan tusikie maoni yaoWanaibuka na wanapotea, acha wajipange
Hivi padri na askofu huvaa nini wanaposalisha?Bado marufuku ya kanzu na baraghashia tu.
sawa genius.Kumbe hujawafananisha wewe kawafananisha mzungu!? Still upo kwenye utumwa wa mind japo wewe unajiona upo huru. Ila mm mwenzako siamini kabisa uwepo wa mungu. Asubuhi njema
Vazi la mtu haliusiani na amani au kutokuwepo kwa amani, hilo ni vazi linalomsitiri mwanamke tofauti na yule anayevaa kimini au tight. Pevuka kiakili mkuuHuku ndiko "kumpiga mawe shetani" kwa vitendo. Uamuzi huu unapashwa kuungwa mkono na dunia nzima ya wapenda amani. Huu ushetani upigwa marufuku sehemu yoyote iliyo na binadamu. Kama wanapenda huu uvaaji, wavae majumbani mwao lakini siyo mbele za watu wengine.
Hizi dini nyingine shida tupu. Ni full mawazo ya mwanadam tu, hakuna jipya.Hawatakuwa radhi mayahudi na manaswara mpaka mfuate mila yao (qur'an 2.120).
Wanakoelekea wataambiwa msivae kanzu kwaajili ya usalama..ni upuuzi sana yaani mambo ya wahutu na watusi na mambo yao ya kisiasa eti mchawi ni niqab