Wakuu,
Mnakumbuka kuna uzi niliweka kuwa baadhi ya waliomteka Bonge wanajulikana stendi ya Magufuli na wala siyo siri?
Huyo Benk ni anajulikana vizuri hapo almaarufu kama Tall, baada ya tukio la bonge hakuonekana tena hapo Magufuli, na yule kaka mfupi kwenye video ni mdogo wa Benk!
Hapo Magufuli siyo siri kwamba hizo pingu wanapewa kituo cha polisi hapo Magufuli, na wao ndio wanawapa jeuri, ikisemekana wanashirikiana na gogoni kufanya uhuni wao.
Yaani kila siku polisi mnazidi kuhusishwa na matukio haya, mnakimbia vipi kwa baadhi yenu wanaendesha magenge haya ya wahuni?
Pia soma:Waliojaribu kumteka Bonge wanajulikana mpaka Stendi ya Magufuli lakini kimya! Polisi mnaepuka vipi kuhusishwa kwenye mazingira haya?