black hummer Member May 31, 2016 12 3 Jun 3, 2016 #1 ebu fuata link hiyo hapo chini kujua watanzania wanaelewa vipi kuhusu swala la kutoa na kupokea rushwa. kuna watu wanauliza maswali ya ajabu mmnooo... VIDEO: Askari wa Usalama Barabarani akichukua Rushwa - Juni 01, 2016
ebu fuata link hiyo hapo chini kujua watanzania wanaelewa vipi kuhusu swala la kutoa na kupokea rushwa. kuna watu wanauliza maswali ya ajabu mmnooo... VIDEO: Askari wa Usalama Barabarani akichukua Rushwa - Juni 01, 2016
N ng'ambakwa JF-Expert Member Oct 18, 2012 246 82 Jun 3, 2016 #2 Amekusaidia maana hachukui taarifa zozote za gari wala leseni
N ng'ambakwa JF-Expert Member Oct 18, 2012 246 82 Jun 3, 2016 #3 Wala hupigwi picha what is the problem then!!?