Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 606
- 1,689
Kama kweli Mwenyekiti wa CCM Taifa anataka kuongeza mvuto, basi aende na Humphrey Polepole.
Kiukweli Mzee wa "kataa wahuni" analog kundi kubwa sana Tena zaidi hata ya MAKONDA.
Sasa fikiria combination ya Makonda na Polepole hii itakua CCM ya moto sana.
Hii combination itaongeza Imani kwa Serikali na Chama. Pia itaongeza ufanisi wa utendaji kwa mawaziri na watumishi wa umma.
Polepole anauwezo wa kujenga hoja na pia ni kijana mweredi Dana wa siasa za Afrika na Tanzania.
Uamuzi wa kumpa ubalozi ulikua mzuri ili kumlinda na nongwa na kashfa za kutengeneza. Na Sasa ni wakati wa kumtumia.
Wazungu husema "Save the best for the last"