nadhani hizo radio na TV zitakuwa zinatakiwa kuhakikisha zinapiga miziki ya ndani kwa asilimia kadhaa na ile ya nje kwa asilimia kadhaa!
halafu mwakajana nikasikia wamegoma eti kwanini media zinapiga sana nyimbo za nje hehe!Hilo kulisimamia ni ngumu... Kenya wanao huo utaratibu, ila matokeo yake almost 80 ya nyimbo zinapigwa ni za nje, alizungumzia hili Niki wa pili siku walipokuwa wanaukataa huu mfumo...
halafu mwakajana nikasikia wamegoma eti kwanini media zinapiga sana nyimbo za nje hehe!
Asilimia 60nadhani hizo radio na TV zitakuwa zinatakiwa kuhakikisha zinapiga miziki ya ndani kwa asilimia kadhaa na ile ya nje kwa asilimia kadhaa!
Hii inachekesha, kila kitu tunaiga nje, inapokuja swala la kulipa, ghafla linaonekana haliwezekaniHivi huu mfumo wa kuwalipa wasanii ukianza kila wimbo unapopigwa msanii analipwa ni wasanii wangapi watasurvive? Mi naona tutawapoteza wasanii wengi sana, sioni mtu kama 'Ruge Mutahaba' akubali kukulipa kirahisi rahisi msanii ambaye anaona huna ushawishi hata kama wimbo wako mzuri, huu mfumo naona utawanufaisha wachache tu hao kina Diamond na kina Kiba, ila hawa wengine wahesabu maumivu, tutarajie kuona redio kuanza kucheza zaidi nyimbo za kinaija na za mbele ili kukwepa kutoa mshiko kwa wasanii wa ndani, kwani redio zote zikikubaliana kutwanga nyimbo za kinigeria hazitasikilizwa? Maoni yangu wasanii waachane na hili, watajuta, otherwise kama wana uwezo wa kucreate ushawishi kama kina Diamond
sheria hiyo haipoSheria inawataka wapige 80% nyimbo za tz na 20% nje.
Sheria Hiyo inayowataka wenye vituo kulipa Wasanii ndio Hiyo Hiyo inayowataka wapige 80% miziki ya nyumbani.sheria hiyo haipo
Hilo kulisimamia ni ngumu... Kenya wanao huo utaratibu, ila matokeo yake almost 80 ya nyimbo zinapigwa ni za nje, alizungumzia hili Niki wa pili siku walipokuwa wanaukataa huu mfumo...
Kwani hizo nyimbo za nje hazilipiwi ? Nyimbo za nje zinalipiwa kwa hiyo Radio stations kupiga nyimbo ya nje ya Tz haiwasaidii kupunguza gharama, wengi wanatolea mfano wa Kenya, Kenya Diamond aliongoza na ndiye aliyelipwa pesa ndefu na si kwamba kuongoza kwa Diamond kumuwapunguzia wao gharama.Hivi huu mfumo wa kuwalipa wasanii ukianza kila wimbo unapopigwa msanii analipwa ni wasanii wangapi watasurvive?
Mi naona tutawapoteza wasanii wengi sana, sioni mtu kama 'Ruge Mutahaba' akubali kukulipa kirahisi rahisi msanii ambaye anaona huna ushawishi hata kama wimbo wako mzuri, huu mfumo naona utawanufaisha wachache tu hao kina Diamond na kina Kiba, ila hawa wengine wahesabu maumivu.
Tutarajie kuona redio kuanza kucheza zaidi nyimbo za kinaija na za mbele ili kukwepa kutoa mshiko kwa wasanii wa ndani, kwani redio zote zikikubaliana kutwanga nyimbo za kinigeria hazitasikilizwa?
Maoni yangu wasanii waachane na hili, watajuta, otherwise kama wana uwezo wa kucreate ushawishi kama kina Diamond.