njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,670
Hivi polisi fc si umewadhamini pia kuhusu jezi?
Ombea sana keshokutwa waifunge yanga la sivyo hizo jezi zinazokuja kwa mafungu zitakudodea by the time mambo hata yakianza kutulia huko uzunguni simba fc majezi feki kibao yatakuwepo kitaa
Mwaka huu umeula hasara matokeo ya jana ni hasara sana labda polisi washinde