GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,221
Uwezo wako tunaujua ni mkubwa mno na sababu kuwa Umeondoshwa Ihefu FC kama Kocha Mkuu na Kurithiwa na Mganda Kocha Moses Basena leo kutokana na Poor Performance ya Timu ya Ihefu FC ni Uwongo na GENTAMYCINE sikubaliani nayo.
Kocha Zuberi Katwila ( Legend wa Msasani Magunia ) ukiwa na Maswahiba zako wakubwa Marehemu Ali Yusuf Tigana na Gwakisa Mwandambo Jirani yangu Kawe ( akiishi Mji Mpya ) nilipoona tu Viongozi na Mashabiki wa Timu uliyoifunga mara Mbili na Kuwaharibia Rekodi yao kule Mbarali Estates wanakutukana, wanakulaumu huku Wakiapa kuwa Watafanya kila waliwezalo Kuishusha Daraja Ihefu FC ( wakidai mnawabania na unawabania sana ) nilijua tu usingedumu Ihefu FC.
Kocha Zuberi Katwila kilichofanyika hadi ukatengenezewa Zengwe hapo Ihefu FC ni kwamba kuna Kiongozi wa Klabu moja na Tajiri wao wametumia Nguvu Kubwa ya Fedha na Ushawishi wa Viongozi Waandamizi Serikali wanaoishabikia hiyo Klabu ili Wewe ( kama Kocha usiyependa Unafiki, Uwongo na huchukui Rushwa ) uondolewe hapo ili Ihefu FC ianze Kufanya vibaya katika Ligi Kuu ya NBC na ishuke Daraja ili Lengo lao litimie na Mkakati wao ukamilike na Msimu ujao wa Ligi Kuu kusiwe na Timu yoyote ya Kuihofia na Safari yao ya Kuchukua Ubingwa kwa Michezo yao ya Nje ya Uwanja waliyoizoea Kuifanya ifanikiwe huku wakiwa hawana Presha.
Kocha Zuberi Katwila nimesikia kuwa uko mbioni kutua Timu yako iliyokulea na Kukukuza ya Mtibwa Sugar FC ila Mimi kwa Uwezo wako mkubwa na Upuuzi ulioko Mtibwa Sugar FC ambayo nayo kwa sasa ina Virusi wengi wa Timu uliyoifunga mara Mbili Mbarali Estates hivyo nina uhakika ikikaribia Mechi na Wao utahujumiwa tu na Wenzako na hatimaye hata CV yako kuanza Kuharibika / Kushuka.
Uaminifu wako Umekugharimu Ihefu.