Pole sana Katibu wa Chama Cha Walimu Tanzania ndugu Maganga

othuman dan fodio

JF-Expert Member
Jan 2, 2018
6,085
9,870
Katibu mkuu maganga sasa makubwa yanenda kukufika sijui kama ni msimamo wako wa kweli au ni ulaji uliopo cwt ndio ulipelekea kugomea nafasi ya uteuzi ya ukuu wa wilaya ambayo Rais samia suluhu hasan alikuteua.

Chama chako ulichokuwa ukikiongoza kama naibu katibu mkuu na baadae katibu mkuu ni chama cha hovyo na kimejaa wanafki pamoja na mashushu wengi sn akiwemo Rais wenu leah.

Leah ni undercover na ndio maana unaona mwenzako wala hashurutishwi kwa kugomea uteuzi ispokuwa wewe pekee ndio balaa linakuandama na huo ni mwanzo tu watahakikisha wanakufirisi au kukufunga kabisa mpaka dunia uione chungu na kwa taarifa zilizopo ni kwamba umekamatwa na upo kituo cha polisi kwa sababu ya kufanya fujo kwenye mkutano wenu. Mwanzo wako mbaya ndio umeanza hivyo.

Kimsingi cwt sio chama cha kusaidia walimu bali ni organization ya kunyonya walimu na mashushu wapo mule wengi tu tena wameshika nyazifa za juu akiwemo leah ilikusudi kuhakikisha hakuna radicals wanao rise kwenye hiyo taasisi na kuleta shidab kwa serikali.

Kama mtakumbuka hapo nyuma msulwa alifanya kazi ya kumnutralize mukoba na orouch wakapotea sasa hv leah amemshughulikia seif na anamalizana na maganga no one ataleta kidomodomo hapo.

Poleni sana wanachama wa cwt pole sn bw. Maganga.
 
Poleni sn wanachama wa cwt pole sn bw. Maganga.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
wote wajinga tu. wezi wa kura. lazima liwakute, tumeteseka sana sababu yenu
 
Maganga yupo polisi ili kuondoa shari isitokee si kwamba analo kosa la mashitaka, mkutano ukiisha naye ataachiwa.
 
Back
Top Bottom