Pole kama wewe sio CCM au Mfanyakazi

ukawa2020

JF-Expert Member
Apr 1, 2016
339
1,314
Mimi nimeshakubali rais hanitambui nasubiri mwingine atakayekuja kunitambua na kuniwish.
 
Hata kama unafanya kaz zako,,ww pia ni mfanyakaz mkuu..
Au mm cjaelewa
 
Hata kama unafanya kaz zako,,ww pia ni mfanyakaz mkuu..
Au mm cjaelewa

Usijitie upofu, hapo amebagua! Haya watoto je hawatakiwi wishes? Wasiofanya kaz sio watanzania??
Sisi tunatambua ni mbinafs tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…