Plot4Sale Plots for sale at Barack Obama Road Sea View

Dalali wa mjini

JF-Expert Member
Oct 5, 2024
458
633
Habari wakuu.

Ni kwa mara nyingine tena nawaletea kazi kali kabisa hii yaani ya Moto balaa Kwa wale maboss wa kukaa karibu na Bahari.

Eneo linauzwa lipo karibu na barabara ya Barack Obama Sea View Upanga.

Sqm 2224
Title Deed
Price $4.3 Milion

Nipigie simu kama unahitaji nikupeleke au niunganishe na mwakalishi wako.

📱0754693556
 
Umekosea njia mkuu, sijawahi kumiliki duka la vifaa vya simu.
Hutaki kuishi karibu na Bahari mkuu?

Ninachoamini ni kwamba hakuna kitu ambacho kinauzwa halafu kikakosa mteja.

Hiki kiwanja kitatanunuliwa Tu.

Humu JF Kuna matajiri wenye ukwasi wa Mali alafu Wala huwezi kuwaona wakijisifia.

Pengine wana-comments vituko kabisa ilimladi asisomeke kama yeye ni masta kabisa a.k.a KIPEME.
 
Yah n kweli kitauzwa ila sio kwa wanaJF, wote humu n walalahoi ila n matajiri wa keyboards ila tuna tofautiana padogo sana, usidanganyike na Comments zao.
 
Wizara ya fedha ilishasema malipo yote ndani ya tz ni TSH?!
 
Plot inakupeleka mbinguni kabisa hiyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…