E eedoh05 JF-Expert Member Apr 20, 2011 632 235 Apr 19, 2013 #1 Wana JF naomba msaada wenu, mnisaidie CD_Key za Windows Vista Ultimate na Windows 7 Ultimate. Nina laptop ya kununua mkononi ambayo imezima OS ikinitaka niweke CD_Key kwa ajili ya ku-activate
Wana JF naomba msaada wenu, mnisaidie CD_Key za Windows Vista Ultimate na Windows 7 Ultimate. Nina laptop ya kununua mkononi ambayo imezima OS ikinitaka niweke CD_Key kwa ajili ya ku-activate
SuperImpressor JF-Expert Member Oct 17, 2012 1,505 648 Apr 19, 2013 #2 Zigoogle utazipata ila hama haraka kutoka vista mambo huko si mazuri