Please Dermatologist naomba msaada kuhusu Vitiligo

Storywriter

Senior Member
Jan 8, 2023
175
389
Nina tatizo la Vitiligo kwenye lower lips. Ilianza kama vidoti vidogo sana. Lakini naona kama inasambaa zaidi.

Najihisi aibu. Nakosa confidence mbele za watu. Naomba watalaamu mnisadie namna ya kutibu.

Binafsi sivuti sigara wala sinywi pombe.
 
Kwa Sasa Iko eneo gan la mwili??.

Vitiligo ni Autoimmune disorder (yaan Kinga Yako ya mwili Kwa bahati mbaya inaanza kushambulia Melanocytes ambazo ni cells za ngozi zinazohusika na utengenezwaji wa Rangi ya ngozi, inapiga sehem yoyote ) hili tatizo Huwa ni la muda mrefu .

Halina tiba ya Moja Kwa Moja ,badala yake matibabu yanalenga kupunguza au kusimamisha kabisa tatizo lisiendelee kuongezeka., Kusaidia cells za ngozi kuzalisha chembechembe zikupazo rangi na pia kuzuia Kinga ya mwili isiendele kushambulia cells za ngozi.

Sasa basi unahitajika kua na Commitment ya matibabu, sio mwezi mmoja au miwili ,umeona Hamna Maendeleo, Unaacha .!!.

Tafuta hizi dawa na utumie kama nilivyokuandikia hapa !! .

👉Betamethasone Valerate Ointment 0.1% Pakaa Kila Masaa 12 Kwa miezi 4 .

👉Clobetasole Propionate Cream 0.05% Pakaa Kila Masaa 12 Kwa miezi 4 .
 
Kwa Sasa Iko eneo gan la mwili??.

Vitiligo ni Autoimmune disorder (yaan Kinga Yako ya mwili Kwa bahati mbaya inaanza kushambulia Melanocytes ambazo ni cells za ngozi zinazohusika na utengenezwaji wa Rangi ya ngozi, inapiga sehem yoyote ) hili tatizo Huwa ni la muda mrefu .

Halina tiba ya Moja Kwa Moja ,badala yake matibabu yanalenga kupunguza au kusimamisha kabisa tatizo lisiendelee kuongezeka., Kusaidia cells za ngozi kuzalisha chembechembe zikupazo rangi na pia kuzuia Kinga ya mwili isiendele kushambulia cells za ngozi.

Sasa basi unahitajika kua na Commitment ya matibabu, sio mwezi mmoja au miwili ,umeona Hamna Maendeleo, Unaacha .!!.

Tafuta hizi dawa na utumie kama nilivyokuandikia hapa !! .

Betamethasone Valerate Ointment 0.1% Pakaa Kila Masaa 12 Kwa miezi 4 .

Clobetasole Propionate Cream 0.05% Pakaa Kila Masaa 12 Kwa miezi 4 .
Mkuu Mungu akubariki sana

Kwa sasa iko kwenye lower lips.
 
Mkuu Mungu akubariki sana

Kwa sasa iko kwenye lower lips.

Usijali Mkuu wangu, Nitafurahi zaidi ukiwa na commitment na Mungu atabariki.

Sawa, kua na Amani, jiamin sana, usijihisi vibaya, usiwafikirie watu wanakuonaje , usipoteze Uwezo wa kujiamini , jiamin sana Ili usiathiri shughuli zako za Kila siku !!.

Na kama Unafanya kazi za kukaa juani Mara Kwa mara .

Ongezea hii dawa

Altruist SPF50 100mls
,utapakaa Kila baada ya masaa mawili Kila siku
 
Watu wema bado mpo duniani.
 
Kwa Sasa Iko eneo gan la mwili??.

Vitiligo ni Autoimmune disorder (yaan Kinga Yako ya mwili Kwa bahati mbaya inaanza kushambulia Melanocytes ambazo ni cells za ngozi zinazohusika na utengenezwaji wa Rangi ya ngozi, inapiga sehem yoyote ) hili tatizo Huwa ni la muda mrefu .

Halina tiba ya Moja Kwa Moja ,badala yake matibabu yanalenga kupunguza au kusimamisha kabisa tatizo lisiendelee kuongezeka., Kusaidia cells za ngozi kuzalisha chembechembe zikupazo rangi na pia kuzuia Kinga ya mwili isiendele kushambulia cells za ngozi.

Sasa basi unahitajika kua na Commitment ya matibabu, sio mwezi mmoja au miwili ,umeona Hamna Maendeleo, Unaacha .!!.

Tafuta hizi dawa na utumie kama nilivyokuandikia hapa !! .

Betamethasone Valerate Ointment 0.1% Pakaa Kila Masaa 12 Kwa miezi 4 .

Clobetasole Propionate Cream 0.05% Pakaa Kila Masaa 12 Kwa miezi 4 .
Response nzuri sana
 
Watu wengi wenye vitiligo wananufaika sana na uanamitindo.

So usiwe depressed ila kuwa motivated na kujikubali zaidi
 
Maelezo ni km ya Carlos The Jackal ila kwenye tiba hizo dawa zake sio reliable sana badala yake tumia Taclorimus ointment (0. 02%) changanya na Methoxsalen vidonge umeze
Ningependa kushauri kuwa aanze labda na dawa alizopendekeza Carlos The Jackal kwasababu miezi miwili nyuma hizi dawa ulizoamtajia ndugu marisi schwein kuna mtu ameandikiwa ila mpaka wa sasa hakukuwa na mabadiliko ikabidi apewe dawa pendekezwa na Carlos The Jackal japo zote ni dawa ila turely zaidi kwenye hali ya hewa ya alipo muhusika .
 
Nani amepewa na je, katumia kwa muda gani? After all Taclorimus is waaay superior kwa hizo Cloberasol na Betamethasone. Pia zingatia mtu kupata dawa sahihi pharmacy maana kuna kubadilishiwa dawa. Mathalani hiyo Methoxsalen lazima utumie vidonge vya miezi 2-3
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom