Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,806
- 29,819
Kwema Wakuu?
Nimekua nikitumia hii kampuni kubet bila tatizo muda mrefu tu. Lakin Sasa takriban siku kumi hivi nilikua Nina hela nimeshinda bet kwa hii kampuni ya PmBet nimeshindwa kuitoa.
Kila nikiwasiliana nao mara kwa mara but nimeishia tu kupigwa kalenda. Siku kumi unakaa na hela ya mtu unajiamini nini? Utarudisha na interest kwa siku Zote hizo?
Mnajishushia uaminifu, watu watawakimbia kwa style hiyo. Makampuni ya betting ni mengi sana kwa Sasa.