Lexus SUV JF-Expert Member Sep 16, 2016 4,510 5,628 Sep 14, 2017 #1 Naombeni mnisaidie kuhusu hili Play store ya simu yangu tecno C5 inaandika hivi *error retrieving information from server . [RH-01] * Je nini tatizo na solution yake wakuu ????
Naombeni mnisaidie kuhusu hili Play store ya simu yangu tecno C5 inaandika hivi *error retrieving information from server . [RH-01] * Je nini tatizo na solution yake wakuu ????
R Rasokauzu JF-Expert Member Apr 27, 2014 518 302 Sep 14, 2017 #4 Kabla ya kutatuliwa hlo tatizo lko je hiyo playstore mwanzo ulikuwa ukiitumia then baadae ndio ikaanza kuleta hayo maneno au ilikuwaje
Kabla ya kutatuliwa hlo tatizo lko je hiyo playstore mwanzo ulikuwa ukiitumia then baadae ndio ikaanza kuleta hayo maneno au ilikuwaje
iNine9 JF-Expert Member Mar 1, 2017 4,513 8,387 Sep 14, 2017 #5 Jaribu ku clear caches na data za play store...
strugo JF-Expert Member Apr 22, 2017 1,235 1,839 Sep 14, 2017 #7 Weka kwenye kindoo cha maji SAA 11 asubuhi ikifika saa1 asubuhi itoe kila kitu kitakuwa clear
Lexus SUV JF-Expert Member Sep 16, 2016 4,510 5,628 Sep 14, 2017 Thread starter #8 shukrani kwa wote walio nisaidia kimawazo POSITIVELY nimefanikiwa ku irejesha katika hali yake now ina function vizuri baada ya ku update google play service kutoka GOOGLE SEARCH .. thanks
shukrani kwa wote walio nisaidia kimawazo POSITIVELY nimefanikiwa ku irejesha katika hali yake now ina function vizuri baada ya ku update google play service kutoka GOOGLE SEARCH .. thanks