Elite class kubwa ya Tanzania wame chukua family plan kama sehemu muhimu katika maisha yao, na family plan kwao ni kua na watoto 1 kwa 3 ili aweze kuwalea vizuri kwa kuwapa best basic necessities kwa kushindana na wengine, ila mwishowe wame waachia na 'urban poverty' baada ya miaka kadhaa of over spending bila savings.
Ila jambo muhimu kwangu sio idadi ya watoto ila mandalizi ya hao watoto kuweza kuishi na kumudu maisha, hao wanao waita unplanned kids wamesaidia familia zao kuwawezesha wazazi wao pale wanapo kwama.
Mfano mzuri ni rafiki(workmate) wa Baba yangu alio pata tatizo la kiafya kidney trans-plant, planned kids wake wote walikua wawili walikua Ulaya waligoma kuja kumuona Baba yao kwa hofu ya kuombwa figo, ila yule unplanned kìd wa mkoani ulio zaa kipindi cha ujana wake ndo alijotolea kumpa figo na wajukuu kukaa nae nyumbani kwa babu yao mpaka alipo pona.
Huwezi kua na planned family katika un planned economies zetu za LDcs kama Tanzania ambazo zimejaa with alot of uncertainties, unapita mtu ana endesha basikeli unaambiwa huyu alikua DC mkuu wa wilaya au katibu enzi hizo, unajiuliza ilikua je?
Securiry yako ni watoto wako mimi nina watoto 7 ila kabla ya kufikisha 50yrs nataka niwe na watoto 11. Kwangu hao ni planned kids, na ntawamudu vizuri, so called planned kids ni wachache wanao fanikisha maisha na kukumbuka wazazi wao, wengi hawana utu na uchungu wa wazazi wao kwasbabu walipata kila kitu on 'sliverplate'