Hao jamaa nilifanya nao interview mbili kama miezi miwili imepita sasa ila mpaka leo sijaambiwa lolote ingawa nilitimiza process zote walizotaka mpk nikawa najiuliza au kuna mchezo umefanyika... Ata hivyo wapo vizuri sana kwenye mchakato wao ni very professional mpk unakubali mwenyewe.. Sijajua kwa nini sijaitwa maana nilikaza sana kwenye interview nikaja skia wameita interview nyingine juzi nafas zile zile nikachoka. Thank God nmepata kibarua kingine japo niliwatamani sn hao jamaa