Kumekuwa na vijana wengi siku za hivi karibuni wanataka kujaribu bahati yao katika ulimwengu wa kujiajiri na blogging, hivyo nimeona nisiwe mchoyo kuwapa ujuzi nilionao ambao utawafanya bloggers wachanga wasipate shida nlizopitia. Ungana nami katika huu post mpaka mwisho,
TUMIA TRAFFIC YA HIZI NCHI - Kma upo serious kusaka dollar hakikisha unapata watembeleaji kutoka south africa, Norway, Australia, Uk, Usa na nchi za ulaya. Binafsi ninashauri muwalenge wa south africa kwa sababu kuna competition ndogo ukilinganisha na hizo nchi nyingine nlizotaja. Kwa siku moja tu ukipata watembeleaji 3,000 na wataoclick tangazo wakifika 1,000 basi ni uhakika kulala na dola 150 (around laki 3 na nusu)
TUMIA HIZI KAMPUNI ZA MATANGAZO - Adsense ndio baba lao na hii haina ubishi lakini kuipata inachukua mda na ukihitaji ya fasta fasta itabidi ununue kwa mtu kwa gharama kubwa, Endapo huna adsense nakushauri uwatumie Adsterra au hata Propeller ads .....Usisahau pointi ya kwanza inayohusu nchi.
ACHANA NA BLOGSPOT BLOGGER TUMIA WORDPRESS - Watu weng wanaiogopa wordpress kwa kudhani ni ngumu kumbe ni nyepesi, Wordpress ina mambo mazuri sana kuzidi blogger kwenye umiliki, Open Source platform, Appearance, Portability, Security, Support, Plugins na vitu vingine vingi tu ambavyo unaweza kugoogle.
USITUMIE THEMES ZILIZOCHAKACHULIWA - Kama huna hela yumia themes za bure tu, Theme zilizovunjwa mara nyingi zina codes zinazopeleka watembeleaji uliowatafuta waende blog nyingine, Pia hizi themes zinaweza kuwa na malicoious codes zinazodisplay matangazo ya watu wengine badala ya yako.
TUMIA HOSTING NA DOMAIN PROVIDER ANAEAMINIKA - Kwa lugha rahishi hapa nazungumzia makampuni yatayokuuzia jina la website (Domain) na yatayokuuzia sehemu ya kuweka vitu vya website yako (Hosting), Kwa ushauri wangu tumia godaddy kwa domain na pia host kwa kifurushi cha wordpress deluxe
hapa ,Ili kuweza kupata discount kubwa ingia google then search "Godaddy coupons". Majuzi nlichukua domain kwa mwaka na hosting ya miezi mitatu ilinicost elfu 60
WEKA MATANGAZO YAKO VIZURI - Ni vizuri kupanga matangazo vizuri ili watazamaji wayaminye, weka juu ya blog, chini ya blog, pembeni mwa blog na kati kati ya post ulioandaa, In short changanya na akili zako kujua mpangilio utaoongeza clicks za matangazo. Tumia
hii plugin kwa kuweka matangazo kwa urahishi
NUNUA NON - HOSTED ADSENSE PAMOJA NA EMAIL YAKE - Adsense sio rahisi kupata na huwa inawalazimu wengi kununua , Inabidi uhakikishe adesnes unayoinunua unapewa na email yake la sivyo kuna hatari kwamba aliyekuuzia akaripoti ameibiwa kwa kuwa ana email yake original. Hakikisha pia ni non hosted ili uweze kuitumia hata kwenye website zako nje ya zile za blogger platform ya google.
ANDIKA VICHWA VYA HABARI VINAVYOVUTIA - Kichwa cha habari ndio kila kitu, Hakikisha kichwa cha habari kinavutia..Iga mifano kwenye kitabu
hiki .
EPUKA MATAPELI - Epuka kuuziwa vitu kwa bei ya juu, Adsense Non hosted ni 60 - 100k, Groups zinaanzia elfu 2 hadi 5 kibongo bongo, Kwa usalama wako host na nunua domain godaddy nliyoielezea tayari, Epuka pia makampuni ya matangazo ambayo yanababaisha kwenye malipo.
SHERIA ZA KUSHARE KWA FACEBOOK - Hakuna watembeleaji hakuna pesa, Njia wanayotegemea wengi ni kushare kwa facebook ila sio rahisi kwa sababu akaunt ni nyingi sana zinafungwa ukishare mara nyingi link ya blog yako kwenye groups, Cha kufanya share post zako kwenye magroup kwa kutumia facebook page........Kwa kila akaunti moja ya fb hakikisha ina page 1 tu ambayo utaitumia kushare kwenye groups 8 tu kila siku na utapost post 1 kila baada ya dakika 40 ili kuepuka kero za kufutiwa acoount yako.....Pia ukiona vitu unavyopost kwenye magroup havina komenti wala likes jua tu ya kwamba kuna uwezekano mjubwa umefungiwa akaunti yako kimyakimya na hizo posti unazoshare hakuna mwengine zaidi ya wewe anaeziona (shosted)