Propaganda na spinning ya Khali ya juu,
sasa kwani Waziri Mkuu akiwa anafanya kazi za chama anakuwa siyo waziri Mkuu...??Nyie ndio wa kwanza kulaumu kama angeeenda huko kwa shughuli ya chama tu,yeye kaunganisha ili kubana matumizi.Lets Be realistic on other matters which are more justifiable.