PILIPILI

belu

Member
Apr 24, 2015
53
9
Habari wanajf
Karibuni pilipili nliyoipika na kuiandaa katk mazingira safi kisha kua packed ktk vifungashio salama kwa afya ya mlaji...ni inaradha nzur na inatumika kulika katika chakula chochote na inaradha nzuri pia yaongeza hamasa ya kula chakula..ipo ya 1000 na 3000 pia nkikuletea mpk kituoni utanchangia 1000 ya nauli....napatikana mbezi ya Kimara kwa sasa
0718632033
1467980605943.jpg
1467980709600.jpg
1467980723750.jpg
 
Back
Top Bottom