new forest
Member
- Mar 28, 2024
- 32
- 90
Habari Wana JF?,
Nina pikipiki yangu nimenunnua mwezi wa kumi na moja mwaka Jana, mwezi November. Aina ya kinglion (150cc).
Tangu niinunue nimefanyia service mara Tano, tu na sijawahi kubadilisha filter.
Mimi sio mtaalamu sana wa pikipiki, lakini hivi karibuni, piki piki ingekuwa na tatizo la kujizima zima, nikiwa naendesha, hasa nikiwa kwenye GIA kubwa kama namba 4,5, Yani nikilegeza mkono kidogo tu kwenye mafuta inajizima Hadi nipige starter Tena.
Na hii inanisumbua hasa nikiwa kwenye foleni kama foleni Iko taratibu bas pikipiki huwa inajizima zima sana. Kwa WATAALAMU WA pikipiki tatizo itakuwa nini?
Mimi nimehisi labda ni filter, sababu sijawahi zibadilisha tangu niinunue pikipiki mwezi wa kumi na moja mwaka Jana. Ila plagi nimeshabadilisha. Naomba mawazo yenu wakuu?
NB: pikipiki ni private sio ya bodaboda.