Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,239
- 826
Pikipiki aina ya fekon inauzwa, bado mpya kabisa
Imekamilika vibali vyote, haina tatizo lolote namba ni Mc 942 Axt
Bei 1,600,000/=
Pikipiki aina ya fekon inauzwa, bado mpya kabisa
Imekamilika vibali vyote, haina tatizo lolote namba ni Mc 942 Axt
Bei 1,600,000/=
Namba nyeupe, mkuu hii pikipiki ipo muda mwingi ipo ndani angalia hata km iliyotembeaAXT ni namba ya zamani kidogo. Ina km ngapi? Namba nyeupe au njano?
Hii biashara mkuu, kama unahitaji tunazungumza usiogopeNamba "A" kwa mihela yote hiyo?
punguza bei la sivyo utapishana na meli ya hela Mkuu!
HeheheNamba nyeupe, mkuu hii pikipiki ipo muda mwingi ipo ndani angalia hata km iliyotembea
Sehemu gani ya miguu ya abiria imechakaa? Hujalazimishwa kununua mkuu.Hehehe
Iko ndani sehemu ya miguu ya abiria imechakaa, mkuu ipo 600,000/=
Bei ya mwanzo, bado discount, kama uko interested njoo cash payment.
We huna hela kaa pembenSehemu gani ya miguu ya abiria imechakaa? Hujalazimishwa kununua mkuu.
Hela yako tafuta sehemu nyengine hii haiuzwi kwa bei hiyo
Anazingua huyo jamaa katafuta kasoro haijaiona anasema sehemu ya kukanyaga abiria imechakaaWe huna hela kaa pemben
Mzigo uko poa na huwa nahitaji vitu Kama hivi but da uko mbali sana ndugu yangu.....hata mwanamke unatongoza huku ukiangalia hata status zetu zipo vipi japo kujiamini muhimu
Pikipiki aina ya fekon inauzwa, bado mpya kabisa
Imekamilika vibali vyote, haina tatizo lolote namba ni Mc 942 Axt
Bei 1,600,000/=
Mkuu kama unahitaji tunaongea hii ni biashara mazungumzo yapoMzigo uko poa na huwa nahitaji vitu Kama hivi but da uko mbali sana ndugu yangu.....hata mwanamke unatongoza huku ukiangalia hata status zetu zipo vipi japo kujiamini muhimu
weka namba kama hutojari au pmMkuu kama unahitaji tunaongea hii ni biashara mazungumzo yapo
weka namba kama hutojari au pmMkuu kama unahitaji tunaongea hii ni biashara mazungumzo yapo
Mkuu namba yangu nakutumia pm, nipigie tuongeeweka namba kama hutojari au pm
cc125 MkuuNi cc 125 au 150?
Poa poa mkuuAhsante mkuu,mm nina uhitaji na FEKON cc 150.
Sijui hata kwann umepanik wakati wala hujalazimishwa kununua, mtu anauza kitu chake mwenyewe unasema ana tamaa ya pesaSorry ni 600000/= ,au 1600000/=?
Kama ni 1600000/= basi kazi ipo, ni sawa na bei za dukani. Watu wenye tamaa ya pesa kirahisi huwa siwavumilii. Kama uko dar ninaweza kukupeleka mahali ambapo kwa fedha hiyo utapata mpya na chenji kubaki. Fekon bei yake iko chini sana.
Used ukija kwenye mnada wa pikipiki walizozitosa vijana Change'ombe polisi unapata nzuri kwa fedha isiyofikia hata milioni moja.