Kuna mda nawaza ingeweza kurudi hata siku moja nyuma niwe mtoto kama zaman.
Nakikumbuka zaman nikisakiziwa mwanamke nimtongoze nalowa mpaka jasho linanitoka kwa woga,
. Nakumbuka siku nmeenda kwa mganga wa kienyeji ili anipe dawa ya wanawake,
. Nakumbuka sehem nilipojenga kakibanda kangu ka miti nikiishi humo lakn leo hata raman haipo,
. Nafikiria kuwa haitajirudia tena maisha tunatoka mbali sana