mrangi JF-Expert Member Feb 19, 2014 88,320 122,652 Jan 27, 2024 #5 Huyu taifa star wangemchukua Angesaidia Ova
chiembe JF-Expert Member May 16, 2015 16,679 27,929 Jan 27, 2024 #6 Mbowe anavyovuta masigara asingecheza hata dakika tano
Mwamaleki JF-Expert Member May 25, 2018 727 2,969 Jan 27, 2024 #8 JUST IN: KAMANDA ALIYECHOKA AOLEWA NA MWAMALEKI
AnyWayZ JF-Expert Member May 30, 2022 4,880 8,420 Jan 27, 2024 #10 Huyu mzee mnafiki sana, Huu ni Uza-tendo.
kawombe JF-Expert Member Mar 26, 2015 14,077 15,658 Jan 27, 2024 #11 Hahaha!! Tanganyika wanaichi hawana sukari na UMEME.wabunge w fisiemu wanakula bata la simba na yanga.mechi
Hahaha!! Tanganyika wanaichi hawana sukari na UMEME.wabunge w fisiemu wanakula bata la simba na yanga.mechi
maroon7 JF-Expert Member Nov 3, 2010 11,296 15,582 Jan 27, 2024 #13 Kamanda Asiyechoka said: View attachment 2884721 Click to expand... Huyu nae imebaki kujinyongea tu hiyo skafu...na ndo anachokitafuta maana unachezaje mpira na skafu, si bora angecheza peku
Kamanda Asiyechoka said: View attachment 2884721 Click to expand... Huyu nae imebaki kujinyongea tu hiyo skafu...na ndo anachokitafuta maana unachezaje mpira na skafu, si bora angecheza peku
BUSH BIN LADEN JF-Expert Member Mar 16, 2019 8,414 19,323 Jan 27, 2024 #14 Sheria za soka zinaruhusu huu uzalendo?