Mjanja M1 JF-Expert Member Oct 7, 2018 4,023 14,177 Jan 16, 2024 #1 Ukisikia Mwanasoka anatoa maneno ya hovyo kwa chombo cha habari basi tambua kuwa amechoka dhihaka na dharau. Hii ni post ya Ukurasa maarufu wa michezo Duniani ukimdhihaki Messi.
Ukisikia Mwanasoka anatoa maneno ya hovyo kwa chombo cha habari basi tambua kuwa amechoka dhihaka na dharau. Hii ni post ya Ukurasa maarufu wa michezo Duniani ukimdhihaki Messi.
Mjanja M1 JF-Expert Member Oct 7, 2018 4,023 14,177 Jan 16, 2024 Thread starter #3 Mr mutuu said: Unajua maana ya 'troll'? Click to expand... Ndio najua maana yake. Unahisi hiyo Habari nimetafsiriwa na mtu Mkuu, au ndo ushanizoea na Job True True.
Mr mutuu said: Unajua maana ya 'troll'? Click to expand... Ndio najua maana yake. Unahisi hiyo Habari nimetafsiriwa na mtu Mkuu, au ndo ushanizoea na Job True True.
Mr mutuu JF-Expert Member Jan 27, 2023 2,846 14,284 Jan 16, 2024 #4 Hawa ndo zao wanapost utani tu, sasa inakua kama unachukulia habari serious
Stroke JF-Expert Member Feb 17, 2012 36,976 45,851 Jan 16, 2024 #6 Mesi ni mzuri ndio ila sio katika viwango hivi anavyowekwa.
Mwalimu wa tuisheni JF-Expert Member Oct 19, 2019 5,797 9,258 Jan 16, 2024 #7 Kampuni za biashara zipo kazini
Scars JF-Expert Member Apr 8, 2017 46,612 112,461 Jan 16, 2024 #8 Ila pamoja na hivyo bado jamaa anakuzwa tu
hydroxo JF-Expert Member Oct 19, 2015 3,247 6,767 Jan 16, 2024 #9 Mashabiki wa Penaldo wamepata pa kupumulia na kupatia furaha.
AnyWayZ JF-Expert Member May 30, 2022 4,880 8,395 Jan 16, 2024 #11 Michezo ni Ajira, As long as tuzo ni malipo basi na apewe anaetengeneza faida kubwa biasharani.