Picha: RC Makonda wa enzi hizo

Mwenyezi Mungu humtoa mbali mja wake
From zero to hero
Rejea kwenye vitabu vya Mungu kuna shuhuda nyingi na nzuri huko
Nani anaijua kesho yake !
Au mfano nani ajuaye kwamba Makonda wa leo ndo Raisi wa kesho?
Chochote kinawezekana maana hakuna ajuaye ni mema yepi ambayo Mweneyzi Mungu amempangia kwa kesho
Kubwa zaidi ni kutimiza makusudi ya Mungu wako kwa kumwabudu na kumuomba sana ili utimize kusudi la yule aliyekuleta hapa duniani
 
Kweli Vita ya madawa ya kulevya ni ngumu.. Ndg yangu Kibo10 Ww ulizaliwa Kama ulivyo sasa?

Namaanisha kwamba hukuanza kufungwa Nep,hukutambaa,hukutoa makamasi hukuchambishwa na wanawake?

Hata viongozi unaowaona wakubwa dunian walianzia chini Sana.

Au Ww Vita ya makonda imekuathili nn mpaka uchambue picha zake za nyuma?
Ifike mahari tuache unafiki, unafiki ni kitu kibaya Sana, Ukiwa mnafki hata Mungu hapendi hata sikiliza kilio cha mnafki
 


Naona Umesahau Kuwa Ni Mwenyezi Mungu Huyo Huyo Atakayemtoa Hero To Zero

Makusudi Ya Mungu Yatawaendea Wale Wanyenyekevu Na Siyo Wakujikuza
 
Jamaa alikiwa smart kuanzia kitambokumbe, nyota njema huonekana asubihi, amevaa kimaadili kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…