Assalam
Mwili wa husna Issa Abdallah umewasili nchini Tanzania na sasa upo kondoa mazishi ni leo.
Husna alikusukumwa na boss wake toka gorofani jambo lilosababsha umauti wake.
Hadi sasa serikali na ubalozi wa Tanzania nchini oman hakuna taarifa walotoa..
Watanzania wengi wamekuwa wakikutwa na majanga ya manyanyaso na hata kuuwawa had sasa serikali imeacha raia wake wanangamia.
Natamani kuskia serikali ikipinga manyanyaso ya raia wao nje ya nchi na kuuwawa.
Natamani Serikali ingilie kati suala hili
Nitaleta kila nitachopata mazikoni
Jeneza lilobeba mwili wa husna ukitokea oman.
Wadau wengine wakionesha hisia zao kwenye heka heka...
Mungu Tunusuru nasi tuna haki ya kuishi tunatamani serikali ithamini roho zetu kama nchi zingne zinavyothamini Raia wao hata mmoja auliwe basi hadi Rais Ataongea.....
Nawapa pole familia ya husna na wwkzi wote wa Kondoa.
Habari zaidi kuhusiana na hili tukio soma=>
Oman: Mtanzania auawa kwa kusukumwa toka ghorofani. Serikali yetu ipo wapi?