Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,684
- 20,581
Ndugu zangu Watanzania,
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Philipo Mpango ameweza kufika na kutoa pole na mkono wa faraja kwa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa pamoja na Mkewe Mheshimiwa Wanu Hafidhi .
Hii ni kufuatia kifo cha Mzee Omary Mchengerwa ambaye ni Baba mzazi wa Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa. Ambaye alifariki akiwa Ibadani Makka ambako alizikwa huko huko Makka.
Mheshimiwa Makamu wetu wa Rais ametoa pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha mzee Omary Mchengerwa ambaye ametangulia mbele za Haki.
Nami pia Lucas Mwashambwa naendelea Kutoa pole sana kwa Mheshimiwa Waziri na Familia yake pamoja na ndugu jamaa na marafiki na wote tulioguswa na Msiba huo. Mungu awape Moyo wa subira wakati huu mgumu ambao wanapitia.