Mpap Ndabhit
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 311
- 383
Ni kawaida Miaka ya zamani miezi kama hii ya maandalizi ya kilimo safu za mlima Mbeya/Loreza kuteketea Kwa moto.
Ni Albeit Chalamila aliyeweza kukomesha tabia hiyo mbaya ya kuanzisha moto kwa kuwalazimisha wenyeji wa maeneo hayo wakishirikiana na JKT kuzima moto usiku kucha.
Naona Hali imerejea Tena. Wahusika naomba chukueni hatua kuokoa misitu inayoteketea.