ndege JOHN JF-Expert Member Aug 5, 2015 21,541 51,259 Jun 8, 2024 #1 Usijiulize kwanini wa bongo wengi sana kwa sasa nchi yao ya future kwenye biashara ni Dubai city Ona midude hiyo.
Usijiulize kwanini wa bongo wengi sana kwa sasa nchi yao ya future kwenye biashara ni Dubai city Ona midude hiyo.
N Nanye Go JF-Expert Member Oct 29, 2018 10,790 14,476 Jun 17, 2024 #3 Biashara gani ziko kwenye miradi hiyo?