Asante CCM
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 527
- 1,902
Ilikuwa kila baada ya mda fulani wanatembeleana na kupiga ma picha picha kibao huku wapambe humu Jf wakimpamba eti anakubalika na wana ng'ambo pasi na kujua walikuwa wanaisanua sirikali na masinia yake.
Kutano la kwanza lilipuuzwa.
Kutano la pili na yaliyoendelea hakika yaliishtua sirikali na kuagiza masinia yake haraka yaanze kufuatilia kilichonyuma ya pazia na baada ya mda mfupi masinia kwa kushirikiana na aliye asi upande ule hivi karibuni yakagundua mpango mzima uliokuwa nyuma yake.
Na mpango huo ulikuwa ni kuwakusanya vijana wao tokea pande zote za tanzagiza waje huko wao walipoamini ukombozi wa vurugu ungeanzia.
Hongera kwa masinia ya sirikali kung'amua hilo.