Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,025
- 14,208
Kitendo cha Mfalme wa Uingereza, Charles III, kupokea nyaraka za kujitambulisha kutoka kwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki, jana kwa mkono wa kushoto kimeibua mjadala.
Mfalme Charles, ambaye hutumia mkono wa kulia, amekosea kupokea kwa mkono wa kushoto?