Picha inaongea Makonda vs Sianga .

Ngoja kwanza, Yale majina Mkwere alimkabidhi nani? Naimani uchunguzi wa kina ulifanyika kupata yale majina nafikiri ndio maana orodha ilipoletwa kwa mheshimiwa, ikabidi awe mpole. Awamu ya tano kwanini wasingeanzia hapo?
 
eti majina ya wauzaji wa madawa ya kulevya makubwa kwa hiyo ile list ya akina mbowe na Manji wao ni wadogo au ndio anamanisha nini??
Sarakasi zaMzee wa Komedi zinafurahisha sana. Inaonekana hakuna ukweli katika hayo majina ya awamu ya pili na ya pili tatu. Alikuwa anajifuraahisha na kutusahaulisha matokeo ya kidato cha nne. Amemaliza kazi yake tusubiri sizoni nyingine
 
Haya yote yamesababishwa na Mama Ndalichako na matokeo take ya form four. Navyomjua makonda atakuja na kupambana na majangili ndan ya mkoa wake was dar
 
Hivi RC hana Personal secretary? mbona taarifa zake na majina na hilo faili zimekaa hovyo hovyo kama faili la Mwenyekiti wa VICCOBA!
Au amemrithi Personal Secretary wa Marehem Ditopile?
Hata mimi hio file imenishangaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…