huyu jamaa anawapa tabu sana aisee, huwezi kuchangia bila kumtajaWapi timu #KIBA?
hivi umeiona show ya jana ya kiba aliyopiga na safaricom kenyakiba hata aje mbinga hatustuki
Yani hadi mbuzi kaenda kumuona diamond lol
View attachment 323267
Utofauti ni kwamba nyomi ya Lowasa haikuwa inamuingizia hela zaidi ya kuishia kudeki barabara wakati ya Diamond inatunisha accounthata Lowassa nae alikuwa anajaza hivi hivi mwisho wa siku akaangukia pua
let's go team kiba
Ipo wapi? Toa picha kama wanaume walivyofanyahivi umeiona show ya jana ya kiba aliyopiga na safaricom kenya
hayo yanaitwa mahaba niue, huwezi kuona mazuri yoyote ya kiba, ushabiki tuachie sisi tunaoweza kuappreciate kazi za wengne pia, huko kenya alikopiga d jana kiba kakamua juzi show ya kiutu uzima mkesha wa valentineIpo wapi? Toa picha kama wanaume walivyofanya
Usitupe kazi kisa uvivu wako, nenda kwa page yake usikize hata ile Mambo/Mombo...juzikat tu hapa kapostMwenye acapela ya diamond yoyote aitupie humu tafadhali na kama hakuna mjiulize kwanini