Picha hii inatoa unabii wa siku zijazo za uongozi wa Tanzania ikionesha ni wapi watakapokuwa viongozi wakuu wa CHADEMA wakilinganishwa na wale wa CCM

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
15,372
21,163
Hii picha ina takribani miaka 10 hivi na ni picha ya kinabii. Inaongea kimya kimya ni wapi viongozi wakuu wa CCM; Samia na Nchimbi watakapokuwa wakilinganishwa na viongozi wakuu wa CHADEMA Mbowe na Lissu.

1727457062735.jpeg
 
View attachment 3108495.
Hii inaonyesha ni rahisi kupanda kazi ukiwa CCM ambako kuna demokrasia lakini chadema wakubwa wamejimilikisha chama miaka inaenda wao tu ndo viongozi
 
Back
Top Bottom